#ETrending Staa wa Muziki wa Bongo fleva #DiamondPlatnumz ameweka wazi sababu ya Ngege yake ya Binafsi kufika mapema na kusema aliibiwa Sh.Bilioni 4 wakati anataka kununua na swala lipo serikalini.
.
Akipiga Story na Wanahabari Staa huyo amesema...
"Zaidi ya Bilioni 4 nilipigwa changalamacho wamenichelewesha lakini nilikuwa nimepanga mpaka mwaka huu niwe nasafiri na Ndege yangu lakini wameniletea ujanja wakanipiga kama Bilioni 4 ila kwenye serikali ya TZ huwezi kuleta ujanja ujanja"
.
.
.
0 Maoni