#ETREANDIG:Baada ya kuachia Album yake #visit Bongo na kuendelea kushika namba Moja kwenye digital platform mbali mbali staa Muziki @harmonize_tz Ameandika ujumbe huu kwenda kwa Wazazi,Madaktari pamoja na wakunga
✍️✍️✍️
Nichukue Nafasi Hiii Kuwapongeza & Kuwashukuru Madaktari Manesi & Wauguzi Na Wakunga Wote!!!! Dunianii Kwajitihada Mnazozifanya Kuokoa Maisha Ya watu!!Uzazi ni Jambo La Hatali Mnoo!!! Kwa Anae zaa Hata Anae Zalisha. Inahitaji Moyo Sanaaa Bila Shaka Wakati Mwingine Mnakosa Hata Usingizi Kuwahudumia Na Kuwasimamia Wazazi !!!! Ikiwemo Kuwatia Moyo !!! Nina Mengi Yakuwaambia ila Kwaleo Naishia Hapa !!!! Nyinyi Ndio Mmenifanya Nifanye Wimbo Huuuu kwenye #VisitBongo 💿 Hiii ikawe Rasmi Kwakila Mtuu Kuanzia Leo !! Siku Anayo Zaliwa Tunamuita #BOSS 🏃🏃♀️ @djtarico_yababuluku inspired by DR @jembenijembe Call me DR KONDEBOY
0 Maoni