#ETREANDIG: Mwanamuziki @harmonize_tz Amefunguka kutapeliwa Tzsh Billion 7 Wakati alipokuwa Mbioni kutaka kufunguwa radio/TV yake kupitia Mahojiano na waandishi wa Habari #konde Amefunguka haya...
"Ni kweli kabisa Nilitaka kufunguwa radio na TV lakini kwa bahati mbaya nimetapeliwa Billion 7 ila naon Sasa Kuna haja ya serikali kutuwekea security sisi wasani hususani pale tunapofanya miamala mikubwa kwani wengi wetu hatuna Elimu ya kutosha tumetoka Mtaani tunajuwa kuimba Mashairi basi ila hatuna Elimu ya kifedha kihivyo ila bado sijakata Tama bado kwasababu Ni ndoto Yangu Mambo yakika sawa nitafunguwa .
0 Maoni