Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

SIKUJUWA KAMA DIAMOND NAYE ALISHINDA TUZO: HARMONIZE

#ETrending Staa wa Muziki #Harmonize amefunguka kuhusu Tuzo ya #Aeausa aliyoshinda Staa #DiamondPlatnumz na kusema kuwa hajajua kama Staa huyo nae alishinda Tuzo hiyo kwani yeye alikuwa Backstage akijiandaa na kutumbuiza hivyo hakusikia kama ametajwa. . Akiwa katika mahojiano na #Efm , #Harmonize amesema.. "Kiukweli wakati tuzo zinaanza kutolewa mimi nilikuwa Backstage nikijiandaa kuperform kwahiyo kama alitajwa mimi sikujua" . . written by @lanka_ting .

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement