Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

ZIMBWE JR KAMA DANIEL ALVES

Mohammed Hussein 'Tshabalala' huku kwetu watu wanasema amechoka sababu wamemuona kwa muda mrefu bila kutazama ubora wake wapo wanaoamini kucheza sana ndiyo kuchoka au alifanya makosa ni sababu amechoka sana basi Hawa watakuwa hawafatilii mpira pale Barcelona Kuna Mwamba Mbrazil alikuwa anaitwa Dan Alves alicheza Barca kuanzia mwaka 2008 Hadi 2016 na alikuwa ni panga pangua kikosi Cha kwanza Hadi anaondoka akiwa na umri wa 36 akicheza mechi 247 .kwamba kulikuwa hakuna Vijana hiyo mbavu ya kulia? Ukweli walikuwepo ,ila level ya Alves ilikuwa juu mno walikuwa hawafiki hata nusu ya kiwango chake impact yake kwenye timu ilikuwa kubwa sana. Ndiyo sawa na Tshabalala ndani ya Simba impact yake ni kubwa sana ndiyo maana viongozi wa Simba SC walikataa ofa nono kutoka Kaizer chiefs waliokuwa wanahitaji huduma ya beki huyu ni kweli Kuna muda kama binadam yoyote Kuna mechi zinamkataa Kuna mechi anacheza chini ya kiwango lakini siyo kwamba amechoka au ameisha kama baadhi ya mashabiki wanavyosema,mfano msimu uliopita Tshabalala ukiacha majukumu yake ya kuzuia ameisaidia timu kushambulia na kutoa Assist 5 ambazo zilimfanya kuingia katika orodha ya kuwania tuzo ya beki Bora. Naomba kunijuze mambo Machache Kuhusu Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwa mujibu wa Meneja wake Zimbwe jr ndiye 1:Most expensive Local Player 2:Mchezaji anahelipwa zaidi kwa wachezaji wazawa. 3:Mchezaji mwenye followers wengi katika mitandao ya kijamii ndani ya Tanzania YouTube, Instagram na Facebook. 4:Yupo kwenye orodha ya wachezaji 5 wengi wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii wanacheza ligi za Afrika. 5: Mchezaji mzawa mwenye makombe mengi. 6:Mchezaji mwenye Endorsement (Influencers hip and Ambassador) NB: Beki mwenye performance Bora na ya Hali ya juu akicheza kwa constistance katika historia ya Tanzania,ndiye mchezaji aliyekuwa fiti zaidi jamaa ajawahi kuumia. @Mohammed_Hussein15

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement