Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

WEMA SEPETU ATIMIZA MIAKA 33

#ETREANDIG:Kama unajiuliza siku ya leo ambayo mfanano wa kuzaliwa kwa Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu ametimiza miaka mingapi basi jua kwamba ametimiza miaka 33. Cheti chake cha kuzaliwa kinaonesha amezaliwa mwaka 1990 ambapo mwaka 2006 alifanikiwa kushinda taji la Miss Tanzania.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement