#ETrending Mwigizaji 'MichaelGambon' maarufu kama Profesa Albus Dumbledore katika filamu ya "Harry Potter" amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 82.
Kwa mujibu @nbcnews, familia ya Gambon ilitoa taarifa ya kifo chake siku ya Alhamisi. Taarifa hiyo ilieleza kuwa aliaga dunia kwa amani akiwa hospitalini huku mkewe na mwanawe wakiwa pembeni yake,Familia ya marehemu imeomba kupewa faragha katika kipindi hiki. "Tunaomba uheshimu faragha yetu wakati huu mgumu na asante kwa ujumbe wako wa msaada na upendo," taarifa hiyo ilisomeka hivyo.
Pumzika kwa Amani Michael Gambon 🕊🤍🙏
.
Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer
.
Written by @saraphinajerryofficial
.
to
#
0 Maoni