Kiungo wa Azam FC Faisal Salum na Mudathir Yahya wa Yanga SC wametozwa faini ya Tsh milioni mbili kila mmoja na bodi ya Ligi kwa kosa la kukataa kupeana mikono na waamuzi na wachezaji kabla ya kuanza kwa mchezo wa Yanga Vs Azam, Wachezaji hao walisimama katika mstari wa kuingia kiwanjani (touch line) wakati wa zoezi la kupeana mikono kisha kuingia baada ya zoezi hilo kukamilika
.
Written by @sostenes55
.
0 Maoni